Mfumo unakupa mahala salama pa kutunza kumbukumbu na hesabu zote zinazohusiana na biashara yako
Mfumo unakuwezesha kutengeneza ripoti za kifedha kuhusu biashara yako. Hii inakuwezesha kuona faida ya biashara yako inavyokua, ukuaji wa biashara kiujumla na kadhalika.
Mfumo unakupa mahala salama pa kutunza kumbukumbu na hesabu zote zinazohusiana na biashara yako